HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

29 November 2008

HUYU NDIYE JUMA SALUM MBATIANI(JUMA UBAO) KING MAKUSA

JUMA UBAO AKIWA ANPIGA NGOMA KATAIKA OFISI ZAKE ZILIZOPO BASATA Muziki wa tanzania una historia ya kubwa sana kwani muziki huo ndiyo uliochangia baadhi ya mambo mengi hasa katika kuelimisha jamii ya kitanzania hasa katika kuleta uhuru kuelimisha kuhusu majanga mbalimbali wakati nikiwa shule ya secondary nilikuwa nikisoma na darasa moja motto wa mwana muziki nguli nchini Juma salum mbatiani au kama anavyofahamika zaidi kwa jina la kiusanaii king makusa walio wengi wanamfahamu kwa jina la juma ubao wakti huo nilikuwa nikisikiriza baadhi ya radio na kusikia vibwagizo vikisema unasikiliza kipindi cha …….na sauti za juma ubao nilipokuwa nasoma chuo cha uandishi wa Habari pale dsj maarufu kama Dar Es salaam school of Journalism chuo kilichopo ndani ya majengo ya Basata kila nilipokuwa nikifika chuoni nilikuwa nikisikia watu wakiimba kwa sauti nyororo sauti ambazo zinaweza kmtoa nyoka pangoni moyo ukanituma na kusema nenda kaangalie sauti hizo ni za kinanani na hapo ndipo nikakutana kwa mara ya kwanza na mwanamuziki nguli nchini juma salum mbatiani(juma ubao) JUMA UBAO AKIWA AMESHIKA MOJA KATI YA KAZI ZAKE OSFISINI KWAKE KTAIKA MAJENGO YA BASATA Nam nikaona sio vibaya ukaijua historia ya kwa ufupi Juma salum mbatiani (king makusa)Juma ubao alizaliwa mwaka tarehe 24 mwezi December 1950 huko katika mwa Tanzania Dodoma kama ilivyo kwa binadamu wengine mzee ubao ameoa na ana watoto watano wakiwemo wavulana wanne na binti mmoja kma kawaida shule ni kitu muhimu juma alipata elimu yake ya msingi na secondary Tosamaganga mwaka 1967 na baada ya hapo ndipo nyota ilipoanza kumea nakudhihirisha kuwa kipaji cha mtu akifi hata siku moja nam juma ubao aliana kazi yake muziki mwaka 1968 likuwa na kundi la jeshi la wanachi Tanzania na badae alijiunga na badae police jazz band 1971 mwka huohuo akajiunga na STc(states trading co-rporation)jazz ambapo alikaa katika bendi hiyo mpaka mwaka 1985 na ukiangalia unaweza kuona jinsi gani king makusa alivyoweza kuonyesha kuwa kipaji cha muziki kwani hata alipokuwa akitoka kutoka bendi moja kwenda nyingine wnamuziki JUMA UBAO AKIWA ANAREKEBISHA BAADHI YA VIFAAVYA MUZIKI OFISINI KWAKE wenzake walikuwa wakiuzunika kwani walikuwa wakiamini kwamba wapoteza engine kama tusemavyo vijana wasikuhizi naam hivi ndivyo kati ya vibao mabavyo waliweza kuvifyatua nyimbo kama posa nitaleta( Mshenga) BIT Jazz –kumbakisa,kipini cha dhahabu akiwa katika bendi hiyo hiyo mwaka 1987 alitunga kibao kama fagio la chuma kuonyesha kwamba muziki na elimu juma ubao na wenzie waliamba nyimboa za uhuru ikiwemo za kimsifia Samora machel katika kupigani Uhuru wa msumbiji na mwaka 1991 alitoa vibao kama Maselina, mwambuzi na somsomo zote akiwa na bendi za six manyara ukiacha vibao hivyo nyimbo nyingine ambayo ambazo king makusa ameimba ni sakina kiwa katika mtindo wa regae maffin,ukitaka ubaya ,tuonyeshe upendo ant stigma campaign [p HIZI NGOMA ZA MZEEE JUMA UBAO HAPO OFISI KWAKE. Ukiachilia mbali hayo yote juma ubao si kuimba peke yake kwani aliahi kushiriki katika midaharo ya hatimiliki hiyo ilikuwa mwaka 1992 act of 1999 mwaka 2002 aliunda kundi la promosheni la six manyara promotion na mwaka huohuo aliaandaa ziara za kimuziki nchni Norway,mwaka 2006 alifanya kazi ya ualimu wa sanaa katika chuo cha bagamoyo na kuudhirisha kwa juma ubao anaweza muziki mwaka 2007/8 alikuwa moja wa jaji wa katika mashindano ya Kilimanjaro Music Awards.[picha] Mambo mengine ambayo juma juma ubao amepeti na kuwa na utaraamu nayo ni mwalimu wa muziki yaani live music teacher vilevile ni jaji katika mashindano mbalimbali ya muziki ikwemo katika mashindano ya kutafuta nyota wa muziki wa injiri vilevile ni mshauri katika mambo ya kiufundi vilevile ni fundi mzuri wa kutengeneza ala za muziki kama inavyojurikana sikuhizi beat ni mwimbaji na anauwezo wa kupga vifaa vyote na kutengeneza instrument za muziki bila kusahau huwa na piga nyimbo za country ya Acoustic sounds.[picha] Mwana muziki juma salum mbatiani ni hata kwenye uongozi kwani alishakuwa kiongozi wa biashara jazz and six manyara band. Na alikuwa kaimu mwenyekiti wa chamudata-1987-89 na aliwahikuwa mwenyekiti mtendaji six Manyara arts promotion na kwa sasa yupo kama kaimu mwenyekti chamudata kazi nyingine ambazo amewahi kufanya alikuwa accountant BIT1794 Acountant,customer service officer (level 1-3 ACT(Air Tanzania co-rporation1985-2002 ukiachilia mbali hayo juma salum mabatiani anauwezo wa kuzungumza kwa ufasaha ligha mbli Kiswahili na kiingereza za nina amini umeweza kumjua vizuri juma salum mbatiani alimaarufu kama king makusa au wengine wamezoa kumuita juma ubao moja kati ya wanamuziki mmahiri nchini ambapo pindi aimbapo unifanya nimkumbuke babu wa kimanzi chana Julius nyaisangah wakati wa nyimbo zake anazo zipenda za enzi hizo za miaka ya itini sabaini na themanini kweli nilipokuwa nikimpiga picha akawa ananyimbo zakae huku akipiga gitaa na ngoma zake kweli niliobaki kinya wazi kwani baadhi ya walimu wangu walisogea dilisha na kusikiliza huku meno ya furaha yakionekana pale walpoacha midimo yao wazi huyo ndiye juma salum mbatiani jina la usanii king makusa wengi wamjuavyo kwaji la Juma Ubao.[pcha]

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers