2 November 2010

LIGI YA MABINGWA LEO

michauno ya ligi ya mabingwa barani barani ulaya inaendelea leo katika viwanja mbalimbali lakini shughuri kubwa na watu wengi watakuwa wakielekeza macho yao katika uwanja wa white heart lane ambapo totenham hotrspurs watakuwa wakirejeana na internazionale milan nezazuri mechi ya kwanza inter ilishinda mabao manne kwa matatu mechi inayotarajiwa kuanza saa nne usiku kwa saa za afrika mashariki Jumanne, 2 November 2010 Uefa Champions League Rubin Kazan v Panathinaikos Benfica v Lyon Bursaspor v Man Utd FC Copenhagen v Barcelona Hapoel Tel-Aviv v Schalke 04 Tottenham v Inter Milan Valencia v Rangers Werder Bremen v FC Twente

1 comment:

  1. Oooh, kumbe ni Ulaya, haya siunajua tena wapenzi wa mpira twapenda ulaya, hasa ligi za Uingereza!

    ReplyDelete