19 February 2013

FIFA YARIDHIA GLT BRAZIL MWAKANI NA MWAKA KESHO KUTWA

FIFA launch GLT tender for Brazil 2013/14

Baada ya kufanikiwa kutambulishwa kwa tekonolojia ya kugundua  Goli kama limeingia au la - (GLT) wakati wa klabu bingwa ya dunia iliyofanyika  Japan mwaka jana mwezi  December 2012, FIFA imeamua kutumia utaratibu huo mwakani nchini brazil wakati wa kombe la mabara na kombe la dunia  2013 na  2014 .

Dhumuni la kuanzisha la utaratibu huu ni kusaidia waamuzi na wasaidizi wake na kuanza kuweka mfumo huo katika viwanja mbalimbali na waamuzi kuvijaribu  ambapo FIFA imeshotoa tenda hiyo wakiianza na kombe la dunia nchini Brazil ,
 
Mifumo hiyo miwili  GLT imesha pewa kibali kwa mujibu wa shirikisho la soka duniani FIFA  GLT, na makampuni mengine ambayo yamepitishwa leo ambayo waliitwa kuchukua tenda zao 
watakao shinda tenda wataitwa makao makuu ya fifa na kwenda viwanjani kutazama jinsi watakavyo weka mifumo hiyo kiwanjani 

No comments:

Post a Comment