HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

23 June 2013

FULL KUJIACHIA EKOTO APEWA CHETI CHA STAREHE BAADA SOKA RAHA TUMEWAFUMA WENGINE WAKILA RAHA DAVID SEAMAN YUMO

Wish you were here

Hakika kwa vitita vya pesa wanavyolipwa wanaweza kufanya lolote katika kukufuru raha za dunia mara baada ya misimu ya ligi kwisha tazama nyota wa ligi uingereza wanavyokula Raha
 
DANNY SIMPSON (IBIZA)
Beki wa Klabu ya soka ya Newcastle  ambaye ameachwa  na  Newcastle Danny Simpson ameonekana katika visiwa vya  Ibiza akila Raha .
Kijana huyo mwenye Miaka 26- alikuwa amekamata bia yake akiwa anaonekana kwenda kula starehe katika visiwa vya Ibiza huko uispania .
Akiwa amevalia kofia Nyekundu ya baseball na Bukta, Simpson hakupoteza muda pale alipoa alikwa na rafiki zake na kuichagiza sherehe .
Danny Simpson
Good time: Simpson having a laugh in Ibiza

Kiss in front of Danny Simpson
Kiss: Two females lock lips in front of Simpson
Baada ya Nyota kupigana  wa muziki wa  pop Tulisa Contostavlos, Beki huyo wa kulia anaoneka kumchangamkia binti huyo ambaye yupo singo na kuanza kuchati nae  macho yake yote yakiwa kwenye Bikini .
Wachezaji hawa wa QPR na  West Brom wameahusishwa na kujiunga na klabu wanayotaka baada ya kuwa huru , Offa kibao Kutoka Italy, Huku  Torino ikisema iko tayari kunasa saini ya mchezaji hyo .
Inaaminika kuwa Mchezaji huyo wa zamani wa  Manchester United ataendelea kusalia katika jiji la  London.
Danny Simpson

Danny Simpson
Danny Simpson
Attention: Simpson chatted to a number of females at t
EDIN DZEKO
Kama Angejua angekuja Unguja
yeye amechagua kuogelea na Dolphin Na kwa utani unaweza sema "fanya mambo mengine kabla hujafa', Mshambuliaji wa  Manchester City  Edin Dzeko ameamua kujikita zaidi katika kuogolea baada ya msimu mzima wa ligi kuisha .
Akiwa amevalia kizibao cha kuogelea, Na alionekana akiwa na cheko zuri zaidi , Dzeko amepost picha katika mtandao wake binafsi na akiwandika kapshen  'Mimi  na Mwenzangu Dolphin '.
Raia huyo wa  Bosnian  'alipose kwa kuuliza swari 'Nani kaleta dolphins nje ?'
Edin Dzeko
Pucker up: Dzeko shares a kiss with Blade the dolphin

Edin Dzeko
Baller: Dzeko and his new friend
Baada ya kula raha hizi, Dzeko atarejea Manchester, na inawezekana kuwa asikae sana klabuni hapo kwani anaweza kuaondoka klabuni hapo na kwenda italia .
Tetesi nyingi zimemuusisha kuwa timu yake ya   City inaweza kumpereka mshambuliaji huyo  Napoli, ambayo kwa sasa inanolewa na  Rafael Benitez, wakibadilisha na mshambuliaji kutoka  Uruguay  Edinson Cavani
DAVID SEAMAN NA  ROBBIE FOWLER (SINGAPORE)
Mlinda wa zamani wa  Arsenal  David Seaman akiposti picha yake akiwa na mchezaji wa zamani wa Liverpool  Robbie Fowler naye alionekaa akiraha kwa kubebwa juu juu  Singapore.
Mwamuzi wa zamani wa uingereza alionekana nyuma ya wachezaji hao  Peter Reid lakini Seaman kipa nambari moja wa zamani .alitwet  Pembeni ya picha yake  'Sikumgusa huyu jamaa aliyenibeba', katika mkwaju wa pernaty aliiyopewa mwaka 97  Fowler Alipewa Penati  Dhidi Seaman katika mechi ya ligi ya Premier mwaka 1997 kati ya Majogoo na Bunduki .
Seaman, Fowler and Reid
Piggyback: David Seaman laughs on the shoulders of Robbie Fowler as Peter Reid (bottom right) makes sure the former keeper doesn't fall
Katika kitendo Bora cha kiuanamichezo Fowler alipost kwenye Twita akisema seaman hakunigusa na  pentay ile  sikustahili kupewa .
Lakini mwamuzi alitumpilia mbali malalamiko hayo na kuamuru mkwaju wa penati upigwe na fowler alikosa mkwaju lakini  Jason McAteer alikuwa karibu na akamalizia mpira ule na kuingia wavuni .
BENOIT ASSOU-EKOTTO (MLUKA ANGANI )
Beki wa kushoto wa Tottenham Benoit Assou-Ekotto alijiunga na wachezaji wanaocheza ligi yauingereza katika mchezo wa kuruka angani .
Lakini Raia huyo wa kameruni ambaye pia anazungumza kifaransa alikuwa akiruka kutoka kwenye ndege  akitumia parachuti !
Skydive
Big hint: The skydive stickers Assou-Ekotto used to joke with his Twitter followers

Assou-Ekotto
Brave: Assou-Ekotto shows no nerves by chilling out before his jump

Assou-Ekotto
Great height: Tottenham defender Assou-Ekotto jumped 13,500 feet out of a plane

Benoit Assou-Ekotto
Achievement: Assou-Ekotto's skydive certificate

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers