HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

23 June 2013

MASTAA WA LIGI YA UINGEREZA WAFANYA STAREHE ZA KUFURU NJE YA ULAYA

POSTCARD_Bent.jpg


Baada ya msimu mrefu wa ligi ya uingereza, Ulimwengu wa soka sasa utakuwa kwenye mapumziko makubwa na kutafutana Raha  kwa kujinafasi zaidi , Kwa sasa ni wakati wa kiangazi ambapo kuna hari ya moto kidogo mastaa wengi zaidi wapo katika mapumziko.
kwa wanamichezo litakuwa jambo muafaka kufutalia, Tumeamua kukutafutia picha za mastaa hao wanavyojirusha kutoka  Las Vegas, hadi  Dubai, Ibiza (na kurejea tena Las Vegas) katika majukumu yao ya kila siku.
 
DARREN BENT AKIWA  (BARBADOS)
Darren Bent Alichukua muda wake kutumbua katika sherehe za baada ya harusi zinazojulikana kama  honeymoon akiwa na Mkewe Kirsty akiwa katika pikipiki ya majini  katika visiwa vya  Caribbean.
Mshambuliaji huyo wa  Aston Villa  alionekana akiwa katika visiwa vya Barbados , wakati mkewe Kirsty akiwa na Marafiki zake , Wolves' Steven Ward na Mchumba wake ,wakiwa wamevalia  lifejackets wakiwa wanajiandaa kujimwaya mwaya.
Driving force: Aston Villa striker Darren Bent whizzed around on a jet-ski on his Barbados honeymoon
Draiving fosi : Mshambuliaji wa Aston Villa  Darren Bentttttttttttttttttttttttttttttt ndani ya Barbados

Beach bodies: Bent strolled along the sand with wife Kirsty before donning lifejackets with Wolves' Steven Ward and his partner for some more fun and games in the seas (below)
Tazama miili ya watoto hawa ikiwa Ufukweni: Bent akiwa na  Kirsty kabla hawajavaa  na Wolves' Steven Ward na mchumba wake baada ya  wote kuvaa Life Jacket Chini kabla hawajaanza kula baharini  (Chini)

Bent
Shades: Ward and his partner walking along the Caribbean beach
Waoaaah : Ward akiwa na mwenza wake wakiwa visiwa vya caraibean wakitembea katika ufukwe wa visiwa vya  Caribbean 
Bent anaonekana kutaka kuhama Villa Park wakati huu wa kiangazi , baada ya kutotumika sana katika mipango ya kocha  Paul Lambert's msimu uliopita , na  Christian Benteke akionekana kuwa chaguo la kwanza katika klabu hiyo iliyopo katikati ya jiji la uingereza. Lambert's ametupilia mbaili ombi la pauni milioni  £8million kiwango ambacho anaamini hakiwezi kumtoa mshambuliaji huyo wa zamani wa uingereza , kutoka katika klabu hiyo kwenda  Newcastle, huku mshahara wake wa pauni milioni tatu kwa mwaka ukionekana kikwazo pia.
PHIL NEVILLE NA  MICHAEL CARRICK (BARBADOS)
Phil Neville Yeyey atakuwa anajimwaya mwaya zaidi baaada ya mismu uliopita kutangaza kuachana na soka kabisa .
Mchezaji huyo wa zamani wa Everton alikua akipunga jua huko  Barbados akiwa na Mkewe, na huku akiwa rafiki na  yake kutoka klabu yake ya zamani ya  Manchester United Kiungo  Michael Carrick.
United front: Phil Neville (left) and Michael Carrick relaxed on the beach while they chatted
Eeeeeeeeeeeeeh : Phil Neville (Kushoto) na  Michael Carrick  wakitwangaaa raha aaaaaaah Huko america

Sealed with a kiss: Neville and his wife Julie frolicked in the Caribbean sea after his retirement from playing
Mwah Mwah Mwah: Neville na Mkewe  Julie frolicked ndani ya Caribbean Baada ya kustaafu soka.

Carrick alikuwa akifanya mazungumzo na  Neville katika viti vya kupumzikia maeneo ufukweni  , Huku kiungo wa kimataifa wa uingereza akionekana zaidi kuwaza zaidi jinsi gani atakuwa akiweza kupasha mota zake atakapokuwa na mkufunzi mpya wa klabu hiyo ya Man u   David Moyes akiwa Mkufunzi wa Timu hiyo .Bado hajaamua kama afundishe soka baada ya kusoma kozi zinazotambulika na chama cha soka cha FA lakini anaweza  kwenda kuatangaza pia akifuata nyayo za kaka yake Gary, Katika Runinga za Sky Sports.

WESLEY SNEIJDER (IBIZA)
Kiungo wa Galatasaray Wesley Sneijder alimchukua Mkewe  Yolanthe kwenda kujirusha nae katika fukwe za kisiwa cha Ibiza alipokuwa akijinafasi kabla ya kurejea katika maandalizi ya mwanzo wa msimu ligi  .
Nyota huyo wa Mholanzi alionyesha nje Michoro yake mwilini maarufu kama Tatoo Huku mkewe akiwa amemkumbatia  Baharini .
All smiles: Wesley Sneijder took his wife Yolanthe Sneijder-Cabau for a romantic walk on the beach in Ibiza
Furahaa : Wesley Sneijder akiwa na Mkewe  Yolanthe Sneijder-Cabau huku wakiwa katika Tabasamu katika fukwe za  Ibiza

Wesley Sneijder
 Wesley Sneijder
Sneijder alihusihwa na tetesi za kutaka kuungana na Bosi wa wa zamani katika klabu ya  Chelsea kuungana na  Jose Mourinho - wawili hawa walikuwa  Inter Milan mara ya mwanzo .

lakini aliamua kujiunga na vijana wa Kituruki , ambapo pia anacheza na mchezaji wa zamani wa Chelsea  Didier Drogba na wameomba kufanya mazoezi katika viunga vya.Notts County.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers