HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

11 June 2013

MOURINHO: NI TIMU SITA TU ZITAKAZO WANIA UBINGWA !!

Mourinho has identified five rival teams

Katika mahojiano yake na waandishi wa habari akizungumzia sehemu ya pili ya maisha yake  chelsea yatakavyokuwa kocha aliyejibatiza la jina happy one (Mmoja Mwenye furaha) katika kumbi za klabu ya  Chelsea  Jose Mourinho ameonekana kuwashangaza watu hasa Baada kuzitaja  Liverpool, Tottenham na  Arsenal kuwa ni moja kati ya klabu ambazo zitakuwa tishio katika  mbio za kuwania ubingwa Msimu ujao .

Mourinho ambaye alizitupilia mbali na kutwaa ubigwa Mfululizo katika miaka ya   2004-05 na  2005-06,lakini alipoulizwa sasa kama itakuwa ngumu kuchukua ubingwa,wakati huu anasema: 'Sasa hivi hari iko tofauti .
'United Ndio mabingwa . Man City walikuwa mabingwa kabla  – Na walikuwa hawana uwezo wa kufanya hivyo nilipokuwa hapa mara ya kwanza  .Na sasa kuna Arsenal na Tottenham zinakuja kwa kasi  , Liverpool na kocha wao   Brendan (Rodgers) bila shaka hawatakuwa mbali kwa hakika .'

Japokuwa hiii ni michezo ya kucheza na akili za watu kwa Mourinho japokuwa anatarajia kupata changamoto  ujio mpya wa kijana kutoka uskoch aliyemkabidhi mskochi mwenzake katika jahazi la  United, litakalo kuwa likiongozwa na David Moyes, na kocha mpya ambaye kuja kuifindisha  City  Manuel Pellegrini.kidogo anaweza kuoneka anazungumza jambo ambalo lipo .
Hizi ni baadhi Takwimu ambazo Mou amekutana nazo na atakutananazo kuhusu msimu ujao

ARSENAL
Kocha :Arsene  Wenger -ambaye hajawahi kumfunga  Mourinho katika mara nane walizokutana  -ni kocha pekee ambaye bado anafundisha kwenye ligi hiyo tangu Mreno huyo alipoondoka   Stamford Bridge  September 2007.  November 2005, Mourinho  Aliwahi  kuzozana baada ya fainali ya kombe la ligi mwaka  2007 .Hii ni baada ya  Arsenal kuwa moja kati ya timu zilizokuwa zikitaka ubingwa kwa muda mrefu na kushundwa kuupata ...
Old rivals: Wenger is the only Premier League manager still at the same club from when Mourinho left Chelsea

Kikosi : Hakuna aliyesajiriwa mpaka sasa na  Wenger na ana pauni   £70million za kutumia katika dirisha la usajiri ambapo msimu huu amemaliza akiwa na kikosi kizuri kidogo . huku akiachana na wachezaji kama  Andrey Arshavin .kama fedha hizo zitatumika kuongeza nguvu kikosini hicho na kinaweza kuwa bora zaidi kutwaa ubingwa  .

LIVERPOOL
Kocha : Brendan Rodgers ni moja kati ya wanafunzi wa  Mourinho's alikuwa akifundisha kama msaidizi pale Chelsea,anasema kijana huyo anaesema maendeleo makubwa sana  Anfield lakini bado ana njia ndefu sana kwenda kufikia kilele .
KIKOSI : kama ataweza kummbakiza  Luis Suarez .na Kama Raia huyo wa Uruguay  ataondoka  Liverpool wanaweza kujitahidi kufuzu fainali za ulaya .lakini kama atasaria, na  na kuongeza baadhi ya wachezaji ,Liver inaweza kuwa moja timu zitakzokuwa zinachagizwa kutwaa  ubingwa wa  ligi ya uingereza.
The cat's out of the bag: But Rodgers but would love to keep hold of Suarez (below)

MANCHESTER CITY
Kocha : Mourinho ndiye ambaye alikuwa Mmbadala  Manuel Pellegrini pale  Real Madrid mwaka  2010.amesema anajua jisi ya kumkabili mpinzani wake kwa tayari alikwisha kumuoana tangu UiSpania . wawili hawa walioneka kuwa wapinzani sana pale  Pellegrini alipokuwa kwenye kiti cha moto pale  Malaga, lakini palikuwa na utata kwani  Mourinho alionekana kulekezea akiri zake zaidi kwa  Barcelona.
Kikosi : Jesus Navas na  Fernandinho Tayari wamesajiriwa na wengine wanatafuata,lakini mapungufu kadhaa waliyokuwa nayo msimu uliopita na kushindwa kutwaa ubingwa lakini watu wanasubiri nini kitatokea msimu ujao 
Predecessor: Manuel Pellegrini made way for Mourinho at Real Madrid 2010
Predecessor: Manuel Pellegrini made way for Mourinho at Real Madrid 2010
MANCHESTER UNITED
Kocha : David Moyes' akiwa  Everton aliwahi kumfunga Mourinho's akiwa Chelsea lakini anasema kuwa anamuheshimu sana , Mourinho na ataeneleza na  urafiki kama ilivyokuwa kwa mskotish mwenzake  Sir Alex Ferguson.
KIKOSI : United Wameshinda kikombe msimu uliopita na wamekwisha saini mchezaji mmoja tayari kijana Mdogo Wilfried Zaha katika kikosi cha  Moyes' . Wayne Rooney bado haijafahamika  kama atasaria klabuni hapo ,lakini  kama  United wataweza kuziba nafasi yake  kwa kumsainisha mchezaji wa Dortmund's Robert Lewandowski basi bila shaka itakuwa moja kati ya tim u zitazokuwa zinaogopewa zaidi msimu ujao 
Indian sign? Moyes (left) has won just once in eight previous attempts against Mourinho
Mou na Moy

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers