HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

9 June 2013

RAFAEL NADAL MFALME WA KUCHEZA KWENYE UDONGO ASHINDA TAJI LA NANE MFULULIZO

Rafael Nadal celebrates
Mchezaji bora nambari 4 ambaye amepoteza mechi moja tu katika michuno ya,Roland Garros katika maisha yake ,ameshinda Muispania Mwenzake  Ferrer katika set zote alizocheza  na .
Nadal alijipatia alama kirahisi 6-3 6-2 6-3  katika mchezo uliochezwa kwa saa mbili na dakika kumi na sita huku mshindi wa Nishani mbili za olimpick  Usain Bolt akiwa moja ya washuhudiaji katika mechi hiyo.
Mchezaji huyo nguli wa kihispaniola akichezesha goti lake kwa umahiri wa hari ya juu .
Nadal anasema : "Ni moja kati ya mataji maalumu kwake .
"Nina weza kusema Ahsante sana kwa kila mmoja ambaye ambaye ameshirikiana na mimi katika maisha yangu yote ya kucheza Tenis lakini hasa kwa upekeee mwaka jana ambapo nilikuwa majeruhi yaliyonifanya nisiwe katika kiwango changu cha kila siku .
"Jumbe zote zilizotumwa kwangu . 

"Sikuwahi kuwa na ndoto ya siku moja tutakuwa hapa tulipo ."
  Akimzungumzia Ferrer's , Nadal anasema : "Nina mpongeza  David kwa fainali yake ya kwanza ya  Grand Slam.
"Samahani kwa kilicho mkuta Leo lakini ni mpiganaji  na yeye na timu yake yote inastahili kufika hapa ilipofika ."
Mechi hiyo ilisimama kwa mara mbili kwa moja kati ya wanaharakati ambaye aliingia kiwanjani akiwa muare wa moto lakini walinzi katika kiwanja hicho walifanikiwa kumtoa kabla ya hajawafikia wachezaji ,.
Intruder races onto court
FLARE SCARE ... intruder is dealt with by security

Ferrer alikuwa hajapoteza mechi mpaka alipokutana na Mfalme huyo wa tenis katika viwanja hivyo vya udongo  .
Ameshinda mara nne tu kati ya  23 walizo kutanana   dhidi ya  Nadal,
Rafael Nadal

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers