HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

19 June 2013

RATIBA YA MTOANO KOMBE LA DUNIA KUPANGWA SEPT 16 VIWANGO UBORA FIFA KUZINGATIWA

Shirikisho linalo simamia soka Duniani Fifa limetengaza tarehe ya kupangwa kwa raundi ya tatu ya mtoano wa kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia zitakazofanyika Nchini brazil ambapo ratiba hiyo itapangwa Tarehe   16 September 2013. 
Shirikisho la soka la afrika  ndio watakao kuwa wenyeji wa shughuri huko 

nchini Masir katika jiji la  Cairo. Mechi zitachezwa kwa mfumo wa nyumbani na ugenini na Mshindi ndiye atakaye fuzu fainali za kombe la dunia Nchini  Brazil 2014.
Fifa imetangaza pia kuwa timu tano bora katika viwango vya fifa zitapata kipaumbele  kwa kutokukutana ambapo viwango hivyo vitatolewa  12 September 2013,. 
Mechi za kwanza zitachezwa kuanzia  11-15 October
 2013, huku ya pili yaani ya marejeano 15-19 November 2013.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers