HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

8 June 2013

SERENA WILLIAMS AMMBAMIZA SHARAPOVA FRENCH OPEN KATIKA MCHAKA MCHAKA WA SAA 1DAKIKA 46 NA KUTWAA UBINGWA WA FRENCH OPEN


Serena Williams was in determined mood as she closed on her second French Open title and 16th grand slam title.
Serena Williams Akishangialia kwa hisia kali taji lake la pili la french  open  na taji la kumi na sita la  16th grand slam .

(DUNIA YA MICHEZO ) -- Serena Williams Ameshinda kwa ustadi wa hali ya juu taji lake la pili la  French Open  katika set zote alizocheza na kumshinda bingwa mtetezi  Maria Sharapova kutoka Urusi .
Bingwa nambari moja kutoka marekani alishinda  6-4 6-4 katika mchezo uliochukua saa moja na dakika 46 na kushinda taji la kumi na sita la 16th Grand slam .
Sharapova alimshangaza mpinzani wake kwa kuanza kwa kasi kubwa zaidi lakini  Williams aliweza kuwa makini mchezoni  na kuanza kujibu mapigo kwa kasi zaidi na kushinda la taji lake la kwanza tangu   2002. katika michuano hiyo ya Frenchi open
The French Open: Best photos The French Open: Best photos
Sharapova  26-old hajawahi kumshinda Mmarekani huyo tangu 2004  japokuwa alianza kwa kuongoza kwa  2-0 lakini Williams alijibu kwa kasi ya ajabu .
katika mechi hiyo , Williams alishinda set mbili za kwanza , kuelekezea ubingwa katika himaya yake ,na kushinda taji  10th na kwanza katika  fainali Bora zaidi katika zile alizocheza.

"Ilikuwa ya kuvutia ,nina Furaha sana ya kutwa ubingwa ," akiongea katika hadhara kubwa ya watu  Philippe Chatrier Court, huku akiongea kifaransa .
Aidha mpinzania wake Maria sharapova amesema 
"Nimecheza mashindano mazuri na kushindwa ubingwa katika hari  ngumu  ," Sharapova.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers