HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

8 July 2013

HII NDIO MIKASA YA PEREZ KWA ARSENAL Gomez ndani ya ITALIA

Bayern Munich Imetangaza mchezaji wa kimataifa wa Ujermani  Mario Gomez atajiunga na Klabu ya  Serie A ya  Fiorentina. Mabingwa wa ulaya, Bayern, wamesema kuwa wamekubaliana na mchezaji huyo mwenye miaka 27-, ambaye nafasi yake imechukuliwa na  Mario Manduzkic tangu msimu uliyopita  .
Klabu hizo mbili zimekubaliana kwa nyakati tofauti , Huku  Bayern ikinukuliwa wiki jana kuwa uhamisho huo ulishindikana baada ya, Klabu ya  Florentine kulipotiwa kushindwa kulipa  kiasi cha ' €20m huku Muinch wakitaka kulipwa  ($25.7m USD).
Mkurugenzi wa mawasiliano wa  Bayern's, Markus Horwick, amesema kandarasi ya hadi  2017 inatakiwa kusainiwa hadi Majuma mawaili yajayo  ." Gomez anatarajiwa kuingiza ujira wa  €4m Kwa msimu .

Gazeti la Italia la michezo   Gazzetta dello Sport limekili kuwa uhamisho huo utaigharimu klabu ya  Fiorentina €15m. 
Gomez alikuwa na kandarasi na  Munich Hadi  2016 lakini ilifahamika kuwa mchezaji huyo kuwa ana raha kwakuwa alianza kucheza mechi chache kulinganisha na Mchezaji Mwenzake  Mandzukic ambaye ameanza mechi Nyingi  zaidi kwa  Jupp Heynckes. 

Gomez alikuwa akitaka kucheza soka nje ya ujerumani ili aweze kucheza nafasi ya kikosi cha kwanza ili aweze kupata nafasi ya kucheza kombe la Dunia ambalo limebakiza mwaka mmoja kabla ya kuanza  2014 .
Japokuwa amekuwa amekuwa akikaa Benchi mda mrefu msimu uliopita , Gomez aliweza kufunga magoli 19 Msimu uliopita, Huku magoli mawili akifunga katika fainali ya  DFB-Pokal .
Akijulikana kama "Super Mario" baada ya kuonyesha ufundi kama kompyuta, Gomez alijiunga na  Bayern mwaka  2009 akitokea  Stuttgart kwa uhamisho wa   €35m. na amefunga mabao 25 katika timu ya taifa ya Ujerumani katika mechi  58 alizocheza .

HAKUNA CHOCHOTE KUTOKA Arsenal KUHUSU Gonzalo Higuain KWA SASA ANASEMA RAIS WA Real Madrid  Florentino Perez


Real Madrid president Florentino Perez claims that Arsenal are yet to make a bid for the Argentine striker, who has stated his desire to leave Los Blancos

Come and get me: Higuain has stated his desire to leave the Bernabeu
Come and get me: Higuain has stated his desire to leave the Bernabe
8 Jul 2013 17:19
Rais wa Real Madrid  Florentino Perez amekili kuwa Arsenal  bado hawaja peleka maombi ya kumsajiri mshambuliaji wa KiArgentina , ambaye ameweka wazi kuwa anataka kuondoka  Los Blancos
Arsenal's imejaribu kutaka kumsajiri mchezaji huyo kutoka Argentine  Gonzalo Higuain ambaye anaonekana kuwekewa Ngumu baada ya Rais wa  Real Madrid Florentino Perez kusisitiza kuwa klabu ya London club bado haijaweka offa hadharani kwa ajiri ya mcheza huyo .

Higuain, ameviambia vyombo vya habari vya uispania kuwa anataka kuondpoka katika dimba la Bernabeu wakati huu wa kiangazi , alilipotiwa kuigharimu klabu ya hiyo ya london £23millon yenye maskani yake  Emirates Stadium wiki iliyopita.

Lakini Perez ameshindwa kuweka wazi kuwa Higuain yu karibu kusaini kandarasi yoyote .
"Hatutaki Higuain Aondoke ," Alikiambia chanzo cha habari cha Univision. ".

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers