6 May 2009

Arsenal yakung`utwa 3-1 ndani ya emirates

ARSENAL1-3 MAN U ON AGREGATES 4-1 ANGALIA MAMBO YALIVYOKUWA Hoyaa acha kunishika cheza mpira Da leo kazi ipo hii sasa balaa ntaweza kweli? weewee fainali mwanangu ,hoyaa shukaa naumia wewe uwezi kudaka hey pisha nipite

No comments:

Post a Comment