HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

20 May 2009

BUPARTY KUZINDULIWA MWEZI UJAO

Chama cha waandishi wa habari za bunge kimesajiriwa rasmi na kinatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni. kutoka kushoto ni Godfrey Dilunga na Lauden Mwambona hao ndio viongozi wa chama hicho na Beatrice Bandawe hayupo pichani. Akizungumzia dhima kuu ya chama hicho lauden Mwambona amesema kuwa ni kutoa mafunzo ya kuandika na kuripoti habari za bunge vilevile nakujua Nidhamu ya bunge na kufuta sheria waikwa bungeni kwa upande mwingine chama hicho kitasaidia waandishi wa habari kiutendaji hasa wanapokuwa bungeni. Bwana mwambona akionyseha katiba la leseni ya kuendeshea chama hicho

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers