5 May 2009

DWFA YAOMBA MSAADA LIGI YA WANAWAKE MKOA WA DAR ES SALAAM

Chama soka cha wanawake mkoa DWFA Kimeomba makampuni mbalimbali yazamini ligi ya soka ya wanawake mkoa wa Dar es salaam ambayo inatarjia kuanza may 17 mwaka huu na Jumla ya timu kumi na moja zinarajia kushiriki katibu mkuu wa chama hicho Stephania Kabumba amesema leo hii timu hizo nii SAYARI ,MBURAHATI ,MNDELA ,MCHANGANI ,JKT, EVERGREEN, VINGUNGUTI QUEEN, AMNI QUEEN ,REAL TANZANITE, Stephania kabumba katibu mkuu (DWFA)Chama cha soka cha wanawake mkoa wa Dar es salaam Mkurugenzi wa ufundi wa shirikisho la soka tanzania tff sunday kayuni akipanga ratiba na wandishi habari MAKUNDI YA KILIMANJARO TAIFA CUP NDIYO HAYA KITUO RUVAMA KUNDI LA 1 MTWARA LINDI TEMEKE RUVUMA KITUO MBEYA KUNDI 2 RUKWA IRINGA ILALA MBEYA KITUO DODOMA KUNDI LA 3SINGIDA MOROGORO TABORA DODOMA KUNDI LA 4KITUO MWANZA SHINYANGA KIGOMA KAGERA MWANZA KITUO ARUSHA KUNDI LA 5 MARA KITUO ARUSHA MANYARA KILIMANJARO ARUSHA KITUO TANGA KUNDI LA 6 TANGA PWANI KINONDONI

No comments:

Post a Comment