HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

8 May 2009

IBRAHIM ASHINDWA KIUME GYMKHANA CLUB

IBRAHIM SHABAN ASIHIDWA KIUME Nyota wa mchezo tenis chni ya miaka 16 Ibrahim shaban wa Tanzania ameshindwa kiume na Adam Noureldin raia wa sudan katika mashindano ya I T F yanayofanyika katika viwanja vya Gymkhana Club baada ya kufungwa 6-4 katika set ya kwanza na set ya pili 1-6 na set ya tatu 7-6 ndipo ilipolazimika kupiagina pernaty yaani kwa lugha ya kitalaamu wanaita tie break ambapo ilikwisha kwa 7-6 na hivyo kumfanya raia huyo wa sudan Adam Noureldin kushinda mchezo huo Adam Noureldin (ALIYE VALIA NYEUPE)NA IBRAHIM SHABAN AMEVARIA NYEKUNDU NA NYEUSI WAKIONGEA NA REFEREE KABLA YA KUANZA MCHEZO. IBRAHIM shaban akitoka nje baada ya kumaliza set ya kwanza Noureldin adam akiwa kazini dhidi ya Ibrahim shaban katika uwanja wa Gymkhana Ibrahim shaban akifanya vitu vyake kwenye mchezo tenis ITF under 16 Hawa ndio walio kuwa mashuhuda wa mchezo wakifuatilia kwa umakini mchezo huo Ibrahim shaban akipeana mkono na mpinzani wake Adam Noureldin mara baada ya kumaliza mchezo. Ibrahim shaban sasa anakuwa amepoteza mara ya tatu kwa raia huyo wa sudan baada ya kufungwa katika mashindano kama hayo huko Afrika kusini na Nairobi aidha mpambano huo ulikuwa wa kusisimua baada ya kutumia takriban saa mbili na ulikuwa ni wa vuta ni kuvute baada ya wapinzani hao wawili kuwa makini kwani walikuwa wakifuatana kwa ukaribu zaidi muda wote mchezo.

1 comment:

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers