12 May 2009

Makocha waonyesha uwelewa mkubwa Gymkhana club

Mchezo wa tennis ndio mchezo unao kuja kwa kasi hapa nchini walimu wengi kujitokeza kwa wingi kuja kupata mafunzo katika viwanja vya Gymkhana katika course inayoongozwa na mkufunzi kutoka afrika ya kusini Prince Madema kama unavyo weza kuona hapo chini wakufunzi mbalimbali wanaondelea kupata mafunzo katika viwanja gymkhana . hili ndilo jopo la makocha wanaopata mafunzo katika viwanja Gymkhana chini ya mkufunzi Prince madema. hapa chini moja kati walimu wakifanya mazoezi baada ya kupata mafunzo hata danada zipo za tennis Boaz obel mwakusa moja kati ya makocha wakionysha ufundi wa kupiga mala baada ya kupata mafunzo Tena za aina tofauti sana ismail omary akionyesha jinsi ya kufanya warm up tennis aina ya danadana katika viwanja vya Gymkhana club.

No comments:

Post a Comment