HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

26 May 2009

TIMU YA TAIFA YA TANZANIA CHINI YA MIAKA KUMI NA SABA KATIKA MAANDALIZI YA KWENDA AFRIKA KUSINI KATIKA MASHINDANO YA MABARA

Umakini wawapo uwanja ndio msing mzuri wa ushindi kuhakikisha kuwa unamdhibiti hadui mambo haya yasinyike kwa sababu ya kumridhisha mwalimu bali kwa mafanikio yako binafsi wachezaji wa wengi wa afrika huwanya hivyo kulidhilisha makocha na tukiewekeza tunaweza kuafanikiwa yatakiwa kuwa makini hasa pale mwalimu anapotoa maelekezo mchezaji kuanza kujishika magoti ni dalili za uvuvi uawnjani kipa bora zaidi awekuwa kuwa mahiri sana kwa kaudaka mipira lakini ukiachiria swala jambo kubwa zaidi anaweza kuwa mwalimu kwani yeye ndiye anaona mchezo zaidi kushinda mtu mwingine uwanja ni rahisi kulahisha makosa.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers