Jumla ya ya washiriki ishirini wamefuzu hatua ya tatu ya kumtafuta nyota wa muziki wa Bongo(Bongo Star Search) Chini ya Udhamini wa Vodacom Tanzania ,Familiy Heath Intenational ,PEPSI,Kilimanjaro Drinking water na precision Air .Akizungumza na waandishi wa habari Jaji wa shindano hilo Rita Paulsen Amesema kuwa iliwachukua wakati mgumu kuchagua washiriki hao ambapo Zanzibar imeshindwa kabisa kutoa mshiriki kutokana na kutokukidhi kiwango cha uwimbaji ambapo aliwataja washiriki waliofanikiwa kuingia hatua ya ishirini bora
29 June 2009
ISHIRINI WATINGA HATUA YA TATU BONGO STAR SEARCH
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
TANGAZA KWA MFUMO HUU

No comments:
Post a Comment