30 June 2009

LZ ENTEPRIZES KUPELEKA WACHEZAJI CANADA KWA MAJARIIO

Baadaya ya timu ya white caps ya Canada kufanya Nchin Tanzania tayari yamenza kuonekana mafanikio baada ya wachezaji wa timu mbalimbali kutoka klbu mbalimbali kupta nafasi ya kwenda kufanya majariio ya kucheza soka ya kulipwa nchini canada wachezaji ni Nizar Khalfan toka MORO UTD ZAHORO IDDY PAZY (MTBWA) NADIR HAROUB (YANGA) NA RAZAK KHALFAN TOKA (YANGA)
hIYO IMEKUWA FARAJA KWA TANZANIA vilevile imezishukuru kampuni za TANAPA Ngorongro conservation,NMB,TBC serengeti reweries,Quality Group,AzamFc, sea cliff hotel.soap lodge kwani wamechangia kwa kiasi kikubwa ziara ya white caps nchi tanzania
kutoka kushoto Nizar khalfan (moro utd) Zahoro iddy pazzy (mtibwa)Nadir haroub Canavaro(yanga)Razak khalfan (yanga)na Rahim Zamunda Kagenzi mkurugenzi wa LZ ENTEPRIZES

No comments:

Post a Comment