10 June 2009

MJOMBA KUTINGA UFARANSA KWENYE KOMBE LA DUNIA LA MASHAHIRI

Jamani vp na mimi naomba nauli nipo na mjomba Leo Mrisho mpoto bingwa wa Kughani mashahiri Nchini akielezea mashindano yatakayofanyiaka nchini ufaransa pembeni ni baadhi ya wadau wake katika kazi yake ya usanii wa mashahiri

No comments:

Post a Comment