26 June 2009

SASA NIAMBIENI HAPA NANI MWENYE HAKI

Leo nimetembelea maeneo ya sokoni kariakoo nikajionea live jinsi mgambo wa manispaa walivyokuwa wakikimbizana na kupokonyana bidhaa na waafanya biashara ndogondo maarufu kama Machinga majira ya saa tisa alasiri

No comments:

Post a Comment