24 June 2009

uhuru wa msumbiji

Balozi wa msumbji nchini Tanzania Amour Zacarias Kupela akizungumza na waandishi wa habari kuhusu siku ya uhuru wa msumbiji ambao unaadhimishwa kesho tarehe 25/06/09 ambapo walipata uhuru mwaka 1975 kwa vita ambavyo vilianza mwaka 1962-1975

No comments:

Post a Comment