HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

23 June 2009

WAKURUGENZI WA MAKAMPUNI YA SIMU USO KWA USO NA JK IKULU

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wakurugenzi wa mitandao ya simu za kiganjani wa Zain, Zantel na Tigo leo jijini Dar. kutoka kushoto ni bwana Nabil Tofilis wa kutoka kampuni wa Zantel, Pablo Guardia wa kampuni ya Tigo na Khaled Muhtadi wa kampuni ya Zain.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers