Huyu bwana akupenda jina lake lionekane yeye ni moja kati ya waelekezaji ambao watakuwa wakitoa maelekezo kuhusu tamasha hilo la makuya ambapo ameshika kfuniko cha kufungia chupa ya mvinyo kikiwa kinyago cha kimakonde ambacho kimetengenezwa kwa ustadi wa hali ya juu ukikitaka fika Aliance Francaise utakipata.
No comments:
Post a Comment