JAKAYA AZINDUA MKONGO WA MAWASILIANO
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na waziri wa sayansi na teknorojia Prof Peter Msola katika picha ya pamoja na wafayanya kazi wa seacom Baada ya Kuzindua Rasmi Mkongo wa mawasiliano(
marine fibre optic cable)
kwenye stesheni ya seacom maeneo ya silversands jijini Dar es salaam
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment