27 July 2009

JAMAA KAPOZI NA PANYA WAKE

Huyo jamaa aliye keti chini pembeni akiwa na panya wake alijitambulisha kwa jina la Venance Benjamin mkapa atukuweza kufahamu panya yule ni wa kazi gani kwani alikuwa amemkata na kichwa vilevile atukuweza kufahamu kama ana mahusiona na Rais mstaafu kwani tulupomuuliza aliamua kuondoka zake baada ya watu kumzonga tukio hilo limetokea leo hii maeneo ya posta mpya katika barabara ya azikiwe

No comments:

Post a Comment