5 July 2009

Je vilabu vyetu wanajua maana usajili

Ndugu zangu watanzania klabu zetu zimefanya usajili tena ukibatizwa majina mengi mara real madrid na majina mengineyo sasa wanafanya majaribio ya na timu ambazo watachezanazo kwenye ligi kweli watapata uzoefu unaotakiwa kwanini hawatafuti timu za nje hasa zenye kiwango kinachotakiwa wakafanya majaribio je ni kweli usajili waliofanya unamaana? naomba maoni yenu

No comments:

Post a Comment