1 July 2009

Kikundi cha ngoma asilia kutoka mkoa wa mtwara kijiji cha mtakuja tarafa ya Lulindi wilaya masasi kikiongozwa na Domonic chonde wa kwanza aliye simama kutoka kulia wakaiwa katika picha ya pamoja kabla hawajaelekea algers algeria kushiriki tamasha la sanaa litakalo kutanisha nchi zaidi ya arobaini na mbili kutoka mabara tofauti duniani.

No comments:

Post a Comment