MOJA KATI YA VIVUTIO AMBAVYO VIPO ISIMILAH
Unaweza kusema labda kimejitengeneza lakini mungu ndiye anayejua imekuaje mpaka ikawa hizi moja kati ya miamba ambayo ipo katikati ya bonde la isimilah lilopo Mkoani Iringa
lisungu_chisara@yahoo.com
TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA
No comments:
Post a Comment