17 July 2009

NI NGUMI ZA UZITO JUU TANZANIA KUTAFUTA BINGWA WA TZ

Ashraf Seleman 113 KG Awadh Tamim 100 KG
Pambano la kuwania Ubingwa wa tanzania kumpata mwakilishi wa Tanzania atakaye pambana na Chingunga kutoka Zambia pambano hilo litanyika kesho jumamosi katika ukumbi wa DDC Mlimani Park uliopo Mwenge jijini Dar es salaam kalibu na Mlimani City.

No comments:

Post a Comment