6 July 2009

Ronaldo akaribiswhwa na mashabiki 80,000

Hapa ronaldo anahutubia alaiki ya mashabiki wa El Galacticos ndani ya Bernabeu Ronaldo anapokaribiswhwa real madrid kweli inaonekana watu wamemkubali sana

No comments:

Post a Comment