9 July 2009

SILAHA ZETU WAKATI WA VITA

Hiii ni baadhi ya mishale iliyopo kwenye jumba la makumbusho ya Isimilah ambayo ilitumika wakati wa vita kati ya wahehe na wajerumani ambapo iliwekwa sumu kali pindi unapochomwa basi sumu iliyopo kwenye mishale hiyo usambaa mwilini na kumuangamiza`adui

No comments:

Post a Comment