HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

27 July 2009

TIGO YAZINDUA TAWI JIPYA JM MALL

Pichani ni Gur Bachan Singh Obhan mkurugnzi wa wa DECOR TECH (T) Akikata utepe alikuwa mashuhuri kwani amekuwa akitumia tigo tangu ilipokuwa katika mfumo wa ANALOG
Kampuni ya mtandao wa simu ya mkononi Tigo imezindua na kufungua Tawi jipya litakalotumika kuhudumia wateja wa malipo ya baada ndani ya Jengo la JM Mall jijini Dar es salaam.
Akizungumzia uzinduzi huo Mkuu wa mauzo SARAH MWIGUNE Alisema ufunguzi wa tawi hilo jipya litakalotoa
huduma maalum kwa wateja wetu wa malipo ya baada ni udhihirisho tosha kuwa tigo tunaendelea kuzingatia hali halisi ya wateja pale tunapoanda bidhaa mpya na pia tunajari jinsi ya kumfikishia mteja ili kuhakikisha kila mteja anafurahia huduma zetu kabambe..

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers