10 July 2009

USIOGOPE SIKUTISHIII

Wazungu wanaita mask yani taswira ambayo mtu anaweza kuivaa ilikujibadilisha lakini kule kwetu tunachezea ngoma na sio kwajili ya kutishia hapana tunatumia kwa mapambo.

No comments:

Post a Comment