14 August 2009

ETI KINANIPENDEZA?

Dada huyu ambaye akufahamika kwa jina akijaribisha kiatu mida ya jino maeneo ya Kiyo cha mabasi ya Mwenge ambapo kila inapofika jiono maeneo kama haya ya vituo huwa yanajaa wafanyabiashara wengi katika mchakato wa kujitafutia kipato.

No comments:

Post a Comment