HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

26 August 2009

WIZARA YA AFYA YAZINDUA ELIMU YA VIPEPERUSHI YA SARATANI YA KIBOFU CHA MKOJO

Pasalace Kibatala Akizindua vipeperushi vitakavyotoa Elimu ya saratani ya kibofu cha mkojo ambapo vinazungumzia jinsi ugonjwa huo unavyopatikana matibabu yake na jisnsi ya kutambua ugonjwa huo pembeni yake ni moja kati ya watu waliowahi kuugua ugonjwa huo Emanuel job kandusi.
Picha hii inaonyesha jinsi ugojwa huo unavyoweza kuharibu mfumo mzima wa kibofu cha mkojo Dr pasalace L kibatala akiwa ameshikilia Vipeperushi vinavyotoa Elimu kuhusu Ugonjwa wa saratani ya kibofu cha mkojo Wengine ni Emanuel Job katikati na wa mwisho ni Dr jerome Mkiramwe vipeperushi hivyo vitasambazwa nchi nzima hili kila mwananchi aweze kusoma na kupata Elimu kuhusu ugonjwa wa saratani ya kibofu mkojo unakuwaje

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers