3 November 2009

MAHASIMU WANAPOKUTANA

Mkurugenzi Mkuu wa PCCB, Dr. Edward Hosea, amemtembelea Spika wa Jamhuri ya muungano Mh. Samuel Sitta Bungeni leo Dodoma. Pichani Spika akimkaribisha Hosea mara baada ya kuwasili ofisi za Bunge. Kulia ni Mheshimiwa Nyalandu

No comments:

Post a Comment