HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

31 January 2010

POLE JERRY KWA HAYA YALIYOKUKUTA

Mwandishi wa habari Bora wa jumla mwaka 2009 kutoka Televisheni ta TBC Jerry Murro inadaiwa amekamatwa na polisi na yuko kituo cha polisi kati (Central) jijini Dar es salaam kwa mujibu wa blogu ya Issamichuzi.blogspot.com /FULLSHANGWE.BLOGSPOT.COM/Jerry Murro alikamatwa leo jijini akitaka kupokea kitita cha shilingi milioni 10 kutoka kwa mwananchi mmoja katika mtego uliokuwa umetegwa dhidi yake Kamanda wa polidi wa kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova anatarajiwa kutoa taarifa wakati wowote kuhusiana na sakata hilo na tutawaletea taarifa zaidi mara baada ya kupata taarifa zaidi

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers