HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

22 February 2010

kameongezewa muda

Manchester City itampatia mshambuliaji wake Carlos Tevez muda zaidi atakaohitaji kumhudumia binti yake aliyezaliwa kabla ya muda. Tevez, hadi sasa hajacheza michezo mitatu na timu yake, baada ya kupewa likizo ya udhuru kwenda Argentina ambapo binti yake aitwaye, Katie, yupo katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum. Maofisa wa klabu ya Manchester City wanasema walizungumza na Tevez lakini hawafahamu ni lini atarejea. Timu hiyo chini ya Roberto Mancini itakabiliana na Stoke siku ya Jumatano katika mfululizo wa michezo ya Kombe la FA na siku ya Jumamosi katika Ligi Kuu ya Soka ya England watakwaruzana na Chelsea.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers