HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

7 February 2010

mo anapoandaa mazingira ya kurudi bungeni

Kutoka kushoto Diwani wa Singida Mjini Bw.Baltazari Kimario akifuatiwa na Mh.Mohammed Dewji,Mwanafunzi wa shule ya Utemini akipokea Zawadi ya mipira ya Miguu kwa ajili ya michezo hapo shuleni,Mwalimu wa Michezo,pamoja na Katibu wa CCM wilaya Bi.Mary Maziku.

Mh.Mohammed Dewji Mbunge wa Singida Mjini, akiongea na wanafunzi wa shule ya Utemini Sekondari skuli,akiwahimiza wanafunzi kusoma kwa bidii ili mkoa huo uweze kutoa wasomi wa kutosha hapo baadae,pia alitoa motisha kwa mwanafunzi ambaye atafaulu vizuri masomo ya kidato cha sita atamgharamia kumpeleka Chuo Kikuu kwa gharama zake mwenyewe.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU

MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers