Omar Chambo akagua ujenzi wa barabara ya inayokwenda umakondeni
Katibu mkuu wa Wizara ya Miundombinu Mhandisi Omari Chambo akiwa ameambatana na meneja mradi wa kampuni ya AM A Kharaf and Sung kuangalia sehemu inayoendelea kufanyiwa marekebisho katika barabara ya Ndundu Somanga yenye urefu wa kilometa 60 kwa kiwango cha lami leo. Picha na Aron Msigwa –MAELEZO.
KWA HISANI YA MICHUZIBLOGSPOT
No comments:
Post a Comment