mzee wa Mtaa kwa Mtaa akijiumauma katika maiki wakati akipigwa maswali ya laivu na watangazaji wa Hits FM pindi alipoenda kuwatembelea leo,Mtaa kwa Mtaa inawapongeza sana watangazaji wa Hits FM kwa kazi nzuri waifanyayo na pia inatoa shukrani kubwa sana kwa kuona mchango wa libeneke la Mtaa Kwa Mtaa nina amini utakuwa umeona tofauti rafiki yaki yangu othmani michuzi .
watangazaji mahiri wa kipindi cha Msisimko wa Pwani ndani ya studio za Hits FM,kulia ni Samira Suleiman na shoto ni Sauda Mkalokota wakiwajibika leo.
Mzee wa Mtaa kwa Mtaa akiwa katika picha ya pamoja na watangazaji wa Hits FM,waliokaa kushoto ni Sauda Mkalokota na kulia ni Samira Suleiman,aliesimama nami ni Milmish Simai.
No comments:
Post a Comment