22 July 2010

ARSENAL INAVYOANZA MAANDALIZI AUSTRIA

Huyu ni alexander song akiwa katika maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu ya uingereza huko nchini Austria
Song, Vela, Sagna na eboue wakifanya mazoezi huko austraria
Mchakamchaka njinja arsenal jee tutegemee nini mwaka huuu

No comments:

Post a Comment