19 July 2010

YANGA MMEPATA VIONGOZI SASA NI KUFANYA MIPANGO YA KUCHEZA SOKA SI KELELE TENA

Mwenyekiti mpya wa Yanga Loyd Nchungaakishukuru wanchama kwa kumchagua usiku wa kuamkia leo ukumbi wa PTA HAll jijini Dar
Makamu mwenyekiti mpya wa YANGA,kibopa Davies Mosha, akishukuru wanachama Francis Kifukwe akiondoka na mfadhili mkuu wa YANGA Yusuf Manji eneo la tukio baada ya kujitoa kugombea.

No comments:

Post a Comment