HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

10 August 2010

NATAKA KUSHINDA MECHI YA KWANZA!!!!

Unajua kwa mwalimu yeyote anayetaka kufanya kazi vizuri lazima ashinde mechi ya kwanza hicho ndicho nachotaka kufanya kesho dhidi ya harambee stars je umewaona harambee stars jibu mimi nafundisha tanzania sina muda wa kuangalia nchi nyingine inafanya nini natazama tanzania ndio ninayoifundisha huyo ni jan borge poulsen kucha mkuuu wa timu ya taifa ya tanzania.

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers