3 August 2010

SIMBA DAY YAKAMALIKA

Afisa habari wa klabu ya simba cliford mario ndimbo asema maandalizi ya tamasha la simba day lipo kama lilivyopangwa na maandalizi yameakamilika cha msingi watu wajitokeze kwa wingi kwani kutakuwa na burudani mbalimbali katika uwanja wa uhuru.

No comments:

Post a Comment