11 August 2010

TANZANIA1-1HARAMBEE STARS

Timu ya tanzania imeshindwa kutamba katika uwanja wake wa nyumbani baada ya kutoka sare ya goli moja moja na harambee stars katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika uwanja wa uhuru ,harambee ndiyo walikuwa wa kwanza kuliona lango la stars kabla ya mrisho ngasa kusawazisha bao

No comments:

Post a Comment