HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

29 September 2010

KIKOSI NI HIKI SIJABADILI KITU

kocha mkuu wa timu ya soka ya tanzania jan b polusen ameweka waizn kikosi kitakacho ingia kambini kesho huku baadhi ya wachezaji wakiongezwa akiwemo kipa wa majimaji ya said mohamed ammbacho atachuja na kubakiza kumi nane siku ya jumanne SHABAN KADO,JUMA KASEJA, SAID MOHAMED HAO NI MAKIPA CB AGGREY MORIS,ERASTO NYONI,NDIRI HAROUB, SHADRAK NSAJIGWA,HARUNA SHAMTE SALMIN KASIM, STEPHANO MWASIKA, MD HENRY JOSEPH,SHABAN NDITI, NURDIN BAKARI, JABIRI AZIZ SELEMAN KASSIM, IDRISA RAJABU ,SALUM MCHAKU,STKER, DAANY MRWANDA,MOHAMED BANKA, JONH BOKO MUSA HASAN MGOSI,

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers