7 October 2010

AHSANTE NMB KUIPIGA JEKI STARS KAYUNI

Nahodha wa timu ya taifa ya tanzania shadrack akipokea jezi kutoka kwa emiriun rwejuna afisa masoko wa NMB ambapo imetoa shilingi milioni kumi wakijiaandaa na mchezo wa kufuzu katika michuano ya mataifa ya afrika huko guinne na gambia

No comments:

Post a Comment