10 October 2010

MAROC 1 SISI 0 BAHATI MBAYA JAMANI TUISUBIRI ARIKA YA KATI

Naama wametufunga bao sio mbaya tukapata ukumbusho niliyesimama nae ni Yusuph Haji Mdogo wake mwasasoka machachari wa timu ya taifa ya moroco aliyetamba na timu katika timu iliyoshiriki michuano ya kombe la dunia kule ufaransa jamaa mwingine ni wa msalaba mwekundu na yeye alitaka ukumbusho lakini akunipa mail yake bila shaka ataingia kwenye site hii na atachukua picha yangu.

No comments:

Post a Comment