23 November 2010

TFF YAONGEZA IDARA ZAKE

pichani ni kaimu katibu mkuu wa tff sunday kayuni Shirikisho la kandanda la tanzania limeongeza idara zake baada ya kutanuka kwa ofisi ambapo mwanzoni ilikuwa na idara tatu idara ya ufundi ,utawala na idara ya fedha kwa sasa idara hiyo mpya itakuwa ya mashindano ambaya itakuwa chini ya saad kaweemba

No comments:

Post a Comment